Uundaji kwa AI
Jifunze kujenga software kwa kutumia wasaidizi na zana za AI
Tunapanga kozi kamili ya kujenga software kwa AI. Piga kura kuonyesha nia yako na uwe wa kwanza kujua ikifunguliwa!
Weka namba yako ya simu ili kupiga kura na kujulishwa kozi ikifunguliwa.
Utafika nini ukijiunga na kozi hii ikifunguliwa.
Jifunze kujenga software kwa kutumia wasaidizi na zana za AI
Frontend, backend, databases, na deployment
Jenga apps za production kutoka mwanzo kwa AI
Jifunze sanaa ya kuwasiliana na mifano ya AI
Tujenge pamoja kitu kikubwa.
Unahitaji huduma za ICT, bei, hosting, au msaada? Chagua chaguo hapa chini.
WhatsApp — 0658489683 Piga — 0658489683 info@primosoftware.com Omba bei / quote